Yapi usiyoyajua kuhusiana na Sare Sare Ya Racker Boy Na Shesa Boy?



                                Msanii Racker Boy
Kutoka Geita Tanzania Aelezea Mwanzo mwisho kipi kilichompelekea hadi kuamua kuandika wimbo mzuri kama huo Ujulikanao Kwa jina La sare sare akiwa amemshirikisha Shesa Boy. Aliyasema hayo yote akihojiwa katika Studio Za 88.9 Storm Fm Sauti ya geita. Hawakuishia hayo Tuu bali walisema kua wanataka kuufikisha mziki wao mbali na hapo walipo.

Angalia hapa Full Interview.

Yapi usiyoyajua kuhusiana na Sare Sare Ya Racker Boy Na Shesa Boy? Yapi usiyoyajua kuhusiana na Sare Sare Ya Racker Boy Na Shesa Boy? Reviewed by Gashorn gidzb on December 04, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.