NAY WA MITEGO NA FREE NATION [DIAMOND AMECOPY WAKA WAKA]


Habari Ndugu msomaji wa Garshorn gidzb Blog. Leo nimeamua kukuletea breaking news ambazo zime Trend sana kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii ikiwemo Instagram Youtube N.k, Habari zote zimekua zikizungumzia Kuhusu Free nation kutamka kuwa Diamond Platnumz Akecopy Waka Waka kutoka kwenye wimbo wa Nay wa Mitego - Makuzi. Mtangazaji wa CLOUDS TV Kupitia kipindi cha


                                                SHILAWADU Soudy Brown

Alimpigia simu Msanii Nay wa Mitego Na kumuulizia kuhusu Habari Hizo. Alichokizungumza 


Nay wa mitego 

ni kwamba Yeye hahusiki na chochote kuhusiana na tamko Hilo Bali Waulizwe viongozi 


                                                      Wa Free Nation 

Kwani yeye na Diamond Ni marafiki  
na bado wataendele kuwa marafiki. Baada ya kuchukua maelezo Upande wa kwanza Hakuishia hapo Mtangazaji Soud Brown ALinyanyua simu yake na kupiga simu kwa meneja wa Diamond Ambae ni  
Babu tale. Alichokijibu yeye ni kwamba kuongea na mtangazaji huyo hakutosaidia kitu chochote.


Usisahau kutembelea blog yetu kwa habari moto moto za mastaa na nyingine nyingi.

NAY WA MITEGO NA FREE NATION [DIAMOND AMECOPY WAKA WAKA] NAY WA MITEGO NA FREE NATION [DIAMOND AMECOPY WAKA WAKA] Reviewed by Admin on December 12, 2017 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.