Natoa utangulizi wa ujio mpya wa stori hii
Yeye burudani na hisia tamu
Kijana mwenye umri wa miaka 20 aliekuwa akiishi maeneo ya kijijini
hali ya maisha ilikuwa mbaya sana na yeye
ndie msaada mkubwa wa familia anayoishi.
Siku moja katika pitapita alifanikiwa kukutana na msichana
aliekuwa amekuja mazingira hayo akifanya utafiti (Research) .
Alifanikiwa kusema nae kwa kipindi kirefu zaidi
na kupata utambulisho wa majina msichana alisema
naitwa GRACE , jamaa nae naitwa MATATIZO
baadae waliendelea huku msichana huyo akipata data mbili tatu
kuhusu eneo hilo kutoka kwa Kijana yule.
Baada ya mazungumzo mengi kupita,Matatizo pamoja na hali ngumu ya maisha
ila swala la wanawake hakuwahi kulisema vibaya,
alikuta kapata ujasiri wa kutupa kete ya bahati kwa Grace
lakini haikuwa rahisi kama fikra zake zilivyokuwa zimemtuma
kwani mapenzi huwa yana hisia maalumu kati ya wawili.
Kwa kuwa Grace alikuwa anatakiwa muda kidogo kusoma
mazingira vizuri ili asipate wakati mgumu katika kazi yake

- kwan ilikuwa binti atakae ingia maeneo yao lazima ajirushe
alikuta kapata ujasiri wa kutupa kete ya bahati kwa Grace
lakini haikuwa rahisi kama fikra zake zilivyokuwa zimemtuma
kwani mapenzi huwa yana hisia maalumu kati ya wawili.
Kwa kuwa Grace alikuwa anatakiwa muda kidogo kusoma
mazingira vizuri ili asipate wakati mgumu katika kazi yake
- : Season hii kali inakuja kuanzia mwanzo hadi mwisho
TAMAA YA MASIKINI YAMPONZA
Reviewed by Gashorn gidzb
on
November 28, 2017
Rating:

No comments: