Mvua ilonyesha trh 6 mwezi mwezi huu iliharibu mazao na barabara katika kijiji cha Busanda Mkoani Geita na kusababisha Hasara kubwa kwa Wananchi wa eneo hilo.
Pamoja na uharibifu huo ikiwa baadhi kunung'unika lakini wengine wasema kuwa "Ashukuriwe mwenyezi Mungu kwa baraka hii ya mvua, kwani tulimuomba sana"
Pamoja na uharibifu huo ikiwa baadhi kunung'unika lakini wengine wasema kuwa "Ashukuriwe mwenyezi Mungu kwa baraka hii ya mvua, kwani tulimuomba sana"
MVUA ILONYESHA KUHARIBU MAZAO NA BARABARA GEITA VIJIJINI
Reviewed by Gashorn gidzb
on
November 13, 2017
Rating:

No comments: