NEWS | Hakuna Beef Kati Ya Mjukuu Wa Mwana Malonde Na Magodi The Don.

Hellow Tanzani. Karibu kwenye Blog Yetu Inayokupa Habari, Burudani Na Vidokezo Kadha wa kadha.


 Leo Tumewaletea Habari Mpya

 Inayohusu mziki Wa Asili TANZANIA. Tuliisikia Nyimbo Ya Mjukuu wa mwana Malonde Iitwayo Watumbulie, Nyimbo hii iliwataja wasanii wengi sana wa muziki wa asili na kupelekea kumfikiria vibaya Mwimbaji Huyu. Tulifanya nae

 

Interview 

Ambayo Aliongea ukweli Kwamba Kufanya nyimbo hiyo Hakumanisha Kuwa Amewatukana wasanii wenzake bali ni Aina ya mfumo alioamua kuutumia ili kuupeleka muziki wake hatua nyingine. Pia Aliwahakikishia Mashabiki wake kuwa Yeye Kabla Hajamtaja Msanii yeyote Huwa anamuuliza. Mbali na Hapo, Kati ya wasanii Aliowataja kwenye Nyimbo ya watumbuliwe Mmoja Wapo Ni Magodi The Don Ambae Hivi sasa Ametoa Nae Wimbo Uitwao Pole Bhamayo. Amefanya Hivyo kwahakikishi mashabiki na wananchi kwa ujumla kwa yeye hana bifu na msanii yeyote, Hivyo Tusimfikirie Vibaya. "Nateegemea Kuachia Wimbo Niliofanya Na Erick." Amesema Christopher (Mjukuu Wa Mwana Malonde).

Huu hapa Wimbo aliofanya Na Magodi.

 


Endele Kutembelea Blog Yetu Ya Garshorn Gidzb Ili Usipitwe na habari Za Mastaa Wa Bongo.

NEWS | Hakuna Beef Kati Ya Mjukuu Wa Mwana Malonde Na Magodi The Don. NEWS | Hakuna Beef Kati Ya Mjukuu Wa Mwana Malonde Na Magodi The Don. Reviewed by Admin on February 09, 2018 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.